Ukiona mtu anamtetea huyu maza ujue ni mwizi wa mali za ummaSSH Si mama mkwe wetu,
Ni mtumishi wa Serikali, ameajiriwa na sisi wananchi na tunamlipa mshahara.
Tutamsema na kumkosoa kadri ya uwezo wetu sawasawa na Katiba na Sheria za nchi.
Mama wawatu Yuko bize kabisa na Majukumu yake,lakini chawa mnamjaza upepooo..Kwa sababu za kijinga kabisa! Lengo lenu? Kumuua Kwa pressure au? Kuweni serious bwana,Rais huyu ni wa wawote,akiharikiwa yeye,nchi imeharinikiwa,nyie vipi?Wakuu,
Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi!
Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake:
View attachment 3112441
Mmmmh...ila jamani, Mzee Nchimbi (Dr.Emmanuel)ebu kaeni chini na watu kama Hawa, hii ndiyo mifano Gani Sasa? Kwahiyo,ukiachana na Mama Mkwe,sehemu za Siri za watu zinashikwa TU kiholela kama vile unachuma nyanys shambani mwako? Hii aibu kabisa!
Bado wanarudia vitisho vyaoWakuu,
Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi!
Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake:
View attachment 3112441
Bado wanarudia vitisho vyaoWakuu,
Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi!
Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake:
View attachment 3112441
Huyu atakuwa ndiye Lucas Mwashambwa au ChoiceVariableWakuu,
Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi!
Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake:
View attachment 3112441
Hana Akili kabisa huyu ng'ombe.Dah kweli CCM wamechoka bibi yetu, kwa kutoa kauli kama hii ambayo mfano wake siwezi kuurudia
View attachment 3112461
Kada wa CCM ndugu Maganya
Naunga mkono hoja.Wakuu,
Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi!
Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake:
View attachment 3112441
Wapumbavu, mpumbavu ni mtu ambaye haelewi anachotakiwa kukifanya hata ukimwelekeza, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi ama uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), a.k.a kujizima data, huyo inatakiwa awajibishwe mpinzani akisema atabebwa mzobe mzobe hata mimi sijapendaHii topic inanihusu. Ila sichangii kwanza. Maana mh!!
Edit: Kama mie ndo mama mkwe. Halafu kaja mkwe wangu kanishika nyeti.
Na mie nashika zake.
ACHENI KUTUMIA MIFANO MIBOVU
Mwenyewe yuko kimya anaheshimu democracy nyie mpo busy kumjaza jazba bila sababu kwa mifano yenu michafu