Mbona kama unateseka mkuu? Inaonekana umeumia kwa zambia kufunga mpaka wake, nakushauri usiteseke ni maamuzi yao ni kama sisi tunavyoamua kupambana kwa style yetuWewe ngoja matokeo utayaona baada ya wiki 1
Hao hawafikishi mwezi watafungua.
Utakuja kuniambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama unateseka mkuu? Inaonekana umeumia kwa zambia kufunga mpaka wake, nakushauri usiteseke ni maamuzi yao ni kama sisi tunavyoamua kupambana kwa style yetu
Nimejaribu kuwaza lakini ukweli utabaki kila nchi ina mbinu zake za kupambana na corona kwahiyo wazambia wanapigania maisha yao, nakumbuka rais wetu alisema hawezi funga mipika kwakuwa majirani zetu wanatutegemea lakini cha ajabu hao majirani wanatuona sisi ndio tatizo wanatufungia mipikaSiwezi kuumia mimi.
Maana mimi nauza hardware. Sio dereva wa malori wala sina kampuni ya kupeleka mizigo zambia.
Ila jaribu kuvaa viatu vya hao madereva,wafanyabiashara wa Tanzania wanao fanya mpakani tunduma.n.k.
Maisha yao yatakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kuwaza lakini ukweli utabaki kila nchi ina mbinu zake za kupambana na corona kwahiyo wazambia wanapigania maisha yao, nakumbuka rais wetu alisema hawezi funga mipika kwakuwa majirani zetu wanatutegemea lakini cha ajabu hao majirani wanatuona sisi ndio tatizo wanatufungia mipika
Vijana wanaandika hisia tu humuSwali zuri sana hili Mkuu. Swali linahitaji majibu yakinifu.
mzee, anaweza kutumia Nacala port au bandari ya Beira na pengine Cape Town. Don't be so much sure kwamba hawezi kuishiZambia hawezi kufunga mpaka akabaki salama.
Labda wawe hawafahamu kuwa jamaa anajiita jiwe.Wewe ngoja matokeo utayaona baada ya wiki 1
Hao hawafikishi mwezi watafungua.
Utakuja kuniambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile lakini ninachojua zambia wamefunga mipaka kwa manufaa yao na wataufungua kwa manufaa yao pia, kuna watu waliamini zambia hawezi funga mpaka hata kwa nusu saa lakini now its 24hrs toka wamefunga
Vyovyote vile lakini ninachojua zambia wamefunga mipaka kwa manufaa yao na wataufungua kwa manufaa yao pia, kuna watu waliamini zambia hawezi funga mpaka hata kwa nusu saa lakini now its 24hrs toka wamefunga
Labda wawe hawafahamu kuwa jamaa anajiita jiwe.
Unachoongea ni kweli raia wa zambia ndio wanaumi, ila cha ajabu watanzania wanateseka kwa kufungwa mpakahao nguvu ya soda.
Kwani mizigo inayotoka Tanzania ni raia wa nchi gani?.
Wazambia au watanzania?.
Wanawaumiza wafanyabuashara wao sio sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nao ni neno! Kwa hiyo hao watanzania waliopatikana mpakani wote walitoka nje ya Songwe, au Zambia vipimo vyao ni kama vyetu - hata papai linakuwa + Wasitutishe!''Tunduma ni salama, Songwe ni salama hakuna haja ya wananchi kuwa na hofu, endeleeni kuchapa kazi,” alisema mkuu wa mkoa.
NIPASHE