Magari Aina Gani Huwa Yanatumika Sana Kwenye Shughuli Hii?

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Habari za Siku Ndugu!
Ee Katika biashara hii ya usafiri wa kutumia Motokaa (tax), ni motokaa zipi ambazo huwa zinatumika sana?
Ukizingatia vigezo kama utumiaji Mdogo wa Mafuta na Upatikanaji Mrahisi wa Spare zake!

Ukiweka na Picha Itapendeza Zaidi!

Asanteni!
 
Swai lako ni bora ungemuliza mh makontena

Swissme
 
Habari za Siku Ndugu!
Ee Katika biashara hii ya usafiri wa kutumia Motokaa (tax), ni motokaa zipi ambazo huwa zinatumika sana?
Ukizingatia vigezo kama utumiaji Mdogo wa Mafuta na Upatikanaji Mrahisi wa Spare zake!

Asanteni!
Carina Ti.
 
ist,Raum lakini Noah pia ni nziri sababu utapiga sana pesa sehem za club na mahotelini ila kama upo mfukoni vizuri Alfard ni nzuri sabb deal ni nyingi sana mahotelini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea ww umetaget sehemu gani ulipo mfano barabara, wateja wengi wa sehemu hiyo so huwezi nunua ist wakati barabara ya sehemu uliyopo mashimo mengi pia sehemu nyingine unakuta wateja wengi wana mizigo mizigo ili angalau ununue yenye nafasi kubw kidogo/buti so ni vema ukaangalia ili pia

Mkuu Natumia Barabara ya Vumbi!
 
Back
Top Bottom