hiyo ndo mambo yote,,,haili mafuta kwa wingi,,Kipo vizuri sio? Kwa mf. dsm wanatumia sana tax zipi?
Carina Ti.Habari za Siku Ndugu!
Ee Katika biashara hii ya usafiri wa kutumia Motokaa (tax), ni motokaa zipi ambazo huwa zinatumika sana?
Ukizingatia vigezo kama utumiaji Mdogo wa Mafuta na Upatikanaji Mrahisi wa Spare zake!
Asanteni!
Kwa sasa IST, VITZ zinapendelewa zaidi.dsm wanatumia sana tax zipi?
Asante sana!ist,Raum lakini Noah pia ni nziri sababu utapiga sana pesa sehem za club na mahotelini ila kama upo mfukoni vizuri Alfard ni nzuri sabb deal ni nyingi sana mahotelini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Natumia Barabara ya Vumbi!Inategemea ww umetaget sehemu gani ulipo mfano barabara, wateja wengi wa sehemu hiyo so huwezi nunua ist wakati barabara ya sehemu uliyopo mashimo mengi pia sehemu nyingine unakuta wateja wengi wana mizigo mizigo ili angalau ununue yenye nafasi kubw kidogo/buti so ni vema ukaangalia ili pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ist ni gari nzuri na inabana matumizi ya mafuta, inatulia barabarani BT tatizo haipend suruba barabara ya mashimo mara kwa mara ili idumuMkuu Natumia Barabara ya Vumbi!
Gari gani inaweza Kuvumilia Barabara za MashimoIst ni gari nzuri na inabana matumizi ya mafuta, inatulia barabarani BT tatizo haipend suruba barabara ya mashimo mara kwa mara ili idumu
Sent using Jamii Forums mobile app