Car4Sale Magari aina mbalimbali yanuzwa

Hili jina la gari la CROWN ATHLETIC umelirudia mara mara mbili, kwenye Heading na humu ndani.

Sasa mi navojua ni CROWN ATHLETE, hili lako ni toleo gani Tena Mkuu? Zimeanza kutengenezwa lini?
 
Hili jina la gari la CROWN ATHLETIC umelirudia mara mara mbili, kwenye Heading na humu ndani.

Sasa mi navojua ni CROWN ATHLETE, hili lako ni toleo gani Tena Mkuu? Zimeanza kutengenezwa lini?
we sio mTeja
 
we sio mTeja
Hata nawe sio Muuzaji pia,
Muuzaji gani hujui hata Gari unalouza ni Gari Gani?
Ndio maana unauza Gari iliyotumika Bongo Miaka Miwili kwa bei ya Imported,
 
Hata nawe sio Muuzaji pia,
Muuzaji gani hujui hata Gari unalouza ni Gari Gani?
Ndio maana unauza Gari iliyotumika Bongo Miaka Miwili kwa bei ya Imported,
ujuaji mwingi kwny biashara za watu...we umeambiwa ndy final price iyo??? au shobo
 
ujuaji mwingi kwny biashara za watu...we umeambiwa ndy final price iyo??? au shobo
Kwani umesema wapi bei ni Negotiable?
Au bei za Crown "Athletic" ndio zinaanziaga hivyo?
Kujifanya ujuaji kumbe hata magari hujui.
 
TOYOTA RAV 4 [B.T.C]
Engine Capacity : 1790cc
Full AC
Full Documents
Mileage: 155K
Location - Kinondoni Moroko
Price : 8.7M
Call : 0717436363

BMW 3 SERIES [D.L.M]
Make : BMW
Model : 3 Series
Year : 2000
Engine capacity : 1890cc
Color : Silver
Location: Mbezi Beach
Price : 10.2M
Excellent Car
Call : 0717436363

Toyota Celica [BZB]
Year: 2003
Colour: Black
Engine capacity: 1790cc
Location: Mbezi Beach
Full AC
Open roofs
2 seats
Excellent Car
Price: 6M
Call: 0717436363

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…