Magari Bora Mapya Kwa Mwaka 2019

Magari Bora Mapya Kwa Mwaka 2019

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
car-1024x481.jpg

MAGARI ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani; yamekuwa yakiifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa hasa kwenye maeneo yenye barabara tu. Magari si kwa mahitaji la wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila siku.

Matokeo yake, kampuni nyingi hivi sasa zimejikita katika kubuni na kuunda magari ya kisasa katika mchakato unaofika hadi mwaka huu — 2019. Baadhi ya magari bora zaidi duniani hadi kufikia mwaka huu ni yafuatayo:

ASTON MARTIN AM-RB 003.

aston-1024x289.jpg

Kasi ya juu: kilomita 402 kwa saa (maili 250 kwa saa)

Bugatti la voiture noire

bugatti-la-voiture-noire_100694260-1024x576.jpg

Kesi ya juu: Kilomita 420 kwa saa (Imetoka moja tu kwa mwaka 2019 na tayari imeshanunuliwa)

FERRARI F8 TRIBUTO

ferrari_100693719_h-1024x616.jpg

Kasi ya juu: Maili 211 kwa saa

Koenigsegg Jesko

Koen-1024x555.jpg

Kasi ya juu: Maili 300 kwa saa

LAMBORGHINI HURACÁN EVO SPYDER

lamborghini-huracan-evo-spyder-1024x576.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 325 kwa saa

MCLAREN SPEEDTAIL

speedtail_050-1024x576.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 402.3 kwa saa

MERCEDES-AMG GT R ROADSTER

mercedes-amg-gt-r-ro-1024x683.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 317 kwa saa

PIËCH AUTOMOTIVE MARK ZERO

piech-mark-zero-2019-07-1024x616.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa

AUTOMOBILI PININFARINA BATTISTA

pininfarina-battista_100694411_h-1024x683.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa

PORSCHE 718 CAYMAN T AND THE 718 BOXSTER T

PORSHE-1024x682.jpg

Kasi ya juu: Maili 170 kwa saa
 
Weka nyama za kutosha, me nilijua utaongelea maboresho, kumbe ni speed tu[emoji41][emoji41][emoji41]

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Hiyo Bugatti ni mwisho wa matatizo aiseeee, hivi na matajiri woooote bongo hii hakuna anayemiliki hilo ndinga????
 
Bei mbona hujaweka...Acha dharau kwahiyo umeona sisi hatuwezi kununua eti? hehehehehe
 
Wengine wanayaona kwenye picha tu na wengine wanaona kama ni za kuchorwa tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hiyo Bugatti ni mwisho wa matatizo aiseeee, hivi na matajiri woooote bongo hii hakuna anayemiliki hilo ndinga????
... umeambiwa kwa Qtr1 limetoka moja tu so far! Duh; utafikiri Boeing 737 MAX 8!
 
magari bora wapi? huku kwetu ni kirikuu ndo bora kiongozi.Tuwekee na list ya yaliyo bora kwa maana ya matumizi ya mafuta, kuhimili shuruba za barabara mbovu nk. Huku kwetu uswazi neno "ubora" lina vigezo vyake.🙂
 
car-1024x481.jpg

MAGARI ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani; yamekuwa yakiifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa hasa kwenye maeneo yenye barabara tu. Magari si kwa mahitaji la wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila siku.

Matokeo yake, kampuni nyingi hivi sasa zimejikita katika kubuni na kuunda magari ya kisasa katika mchakato unaofika hadi mwaka huu — 2019. Baadhi ya magari bora zaidi duniani hadi kufikia mwaka huu ni yafuatayo:

ASTON MARTIN AM-RB 003.

aston-1024x289.jpg

Kasi ya juu: kilomita 402 kwa saa (maili 250 kwa saa)

Bugatti la voiture noire

bugatti-la-voiture-noire_100694260-1024x576.jpg

Kesi ya juu: Kilomita 420 kwa saa (Imetoka moja tu kwa mwaka 2019 na tayari imeshanunuliwa)

FERRARI F8 TRIBUTO

ferrari_100693719_h-1024x616.jpg

Kasi ya juu: Maili 211 kwa saa

Koenigsegg Jesko

Koen-1024x555.jpg

Kasi ya juu: Maili 300 kwa saa

LAMBORGHINI HURACÁN EVO SPYDER

lamborghini-huracan-evo-spyder-1024x576.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 325 kwa saa

MCLAREN SPEEDTAIL

speedtail_050-1024x576.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 402.3 kwa saa

MERCEDES-AMG GT R ROADSTER

mercedes-amg-gt-r-ro-1024x683.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 317 kwa saa

PIËCH AUTOMOTIVE MARK ZERO

piech-mark-zero-2019-07-1024x616.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa

AUTOMOBILI PININFARINA BATTISTA

pininfarina-battista_100694411_h-1024x683.jpg

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa

PORSCHE 718 CAYMAN T AND THE 718 BOXSTER T

PORSHE-1024x682.jpg

Kasi ya juu: Maili 170 kwa saa
Hadi ziwe used up to 20 yrs later ndiyo zije Bongo.
 
Back
Top Bottom