silver star
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 447
- 119
- Thread starter
-
- #341
yaani kati ya magari ambayo huwa sinaga munkari nayo, la kwanza ni alphard, la pili ni vitz. waliodesign haya magari sijui walikula maharage ya wapi.TOYOTA ALPHARD
MODEL 2005
ENGINE 2AZ CC 2360
54000KM
DOUBLE SUNROOF
NEW TYRES
WINKER MIRRORS
FULL DOCS
FRONR/REAR CAMERAS
PARKING SENSORS
BEI 17.8MView attachment 2156426View attachment 2156428View attachment 2156430View attachment 2156433View attachment 2156434View attachment 2156435
Wewe ndio umekula maharage ya wapi??yaani kati ya magari ambayo huwa sinaga munkari nayo, la kwanza ni alphard, la pili ni vitz. waliodesign haya magari sijui walikula maharage ya wapi.