Namshauri aagize gari Japan.kuhusu Tz sina habari za kina ila kwa Singapore nina kushauri tilia mkazo wa picha za gari uhakikishe haija chakaa sana kimuonekano. Kibongo tunamsembo "wanatimbia sana" gari zao.
Si kwa sabau hao insta page wamesema, la hasha. Mimi pia nimeona sasa hivi chapisho lao sikua najua waliandika pia.
Nina swahiba yangu ameingiza si zaidi ya miezi 6 kutoka Singapore BMW E46 nae tumekutana na suala hilo, ndani imechakaa ila engine na vipuri vingine ni vipya kiasi tuliogopa ni kama mtu alifungua na kufunga vingine au ilikua kwenye mafuruko wakasafisha na kuuza.
Zimeingiaje bandarini bila inspection?Kiukweli mimi nishahidi wa magari ya singapore ni mabovu, kwa macho yangu harrier mbili zimekuja bongo zote mbovu. Moja hadi leo gearbox haijatengemaa, imekuja gari inaonekana kupakwa rangi mtandaoni inang'aa kumbe hakuna kitu kabadilisha mashokapu, stabiliza link etc. Ingine imekuja injini sijui ilifunguliwa imepasuka chini huko. Gari za singapore si gari ila kama mmekalia ubishi nununueni
Mkuu, labda nikuulize kitu. Ukisikia ukaguzi wa magari bandarini unapata picha gani kwani kwako? TPA wanawatalaam wa ufundi makenika wanatifua gari kuhakiki au wanaangalia karatasi/ stika ya ukaguzi kutoka inchi husika?
Nina experience ya gari za Singapore
1.Kweli inspection hawafanyi,sina uhakika kama ni zote..yangu ilinigharimu kulipia hapa bongo
2.Kweli nilikuta inashida ya ball joint na shock ups za mbele..zilikuwa hazifai,otherwise body ilikuwa poa sana,ndani safi,engine na gear box poa kbs...mpk leo naitumia mwaka wa 7 sasa
3.Sishauri sana kuagiza tokea huko,hawana uaminifu wakutosha...
Ni lazima gari yoyote itokayo singapore au uk ikaguliwe NITKwa anayejua costs za ukaguzi NIT na taratibu zingine na kama ni lazima kwa gari zote kutoka Singapore au kwa baadhi tu ya kampuni?
Uliagiza Singapore kupitia Be foward auNina experience ya gari za Singapore
1.Kweli inspection hawafanyi,sina uhakika kama ni zote..yangu ilinigharimu kulipia hapa bongo
2.Kweli nilikuta inashida ya ball joint na shock ups za mbele..zilikuwa hazifai,otherwise body ilikuwa poa sana,ndani safi,engine na gear box poa kbs...mpk leo naitumia mwaka wa 7 sasa
3.Sishauri sana kuagiza tokea huko,hawana uaminifu wakutosha...
Tradecarview,nao siwarecommend
Duh, nilikuwa najipanga kulipia gari kutoka Singapore ila huu uzi umeni-put off