Leo tunayo furaha kumkaribisha mteja wetu kwenye familia baada ya kuagiza gari yake nasi.
Ni heshima kubwa kufanya kazi kuendelea kuaminiwa.
Taarifa za gari
Toyota Harrier, Black Color, CC 2160, Engine 5s, 4WD, Automatic, Alloys Rims sport, smart mirror, Rear spoiler, DVD Music inside, Excellent condition (4 Grade)
Bei kamili: 23M
Aidha tunawashukuru wateja wetu wote waliochagua kufanya kazi na sisi na wanaoendelea kutuchagua kila siku, tunatambua kwamba hakuna sisi bila ninyi. ASANTENI SANA🙏🏼
Tunawaahidi huduma bora zilizotukuka
Tupo jengo la Rita ghorofa ya 11
Posta, Dar es Salaam
Tupigie/whatsap: 0719972458
Tufollow Instagram
@magari_aina_zote
@magari_aina_zote
@magari_aina_zote
Tafadhali waambie na wengine