Leo tunayo furaha kufanyakazi na mwana JF mwenzetu baada ya kuagiza gari yake pamoja nasi.
Kikubwa zaidi hatujawahi kuonana lakini tumeaminiana na kufanya biashara.
Tunamshukuru sana kwa imani yake kubwa kwetu.
Taarifa za gari
BMW 3 Series, Black Color, Year 2007, CC 2490, Km 71,000, 2WD, Automatic, Rims sport, Leather seats, Wood panel inside, Push to start, DVD Music inside, Steering Switch, Excellent condition (4.5 Grade)
Bei kamili: 17.9M
Aidha tunawashukuru wateja wetu wote waliochagua kufanya kazi na sisi na wanaoendelea kutuchagua kila siku, tunatambua kwamba hakuna sisi bila ninyi. ASANTENI SANA🙏🏼
Tunawaahidi huduma bora zilizotukuka
Tupo jengo la Rita ghorofa ya 11
Posta, Dar es Salaam
Tupigie/whatsap: 0719972458
Tufollow
Instagram @magari_aina_zote
Facebook: Magari aina zote
Twitter: Magari aina zote
Tafadhali wajulishe na wengine