Iahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model,iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B
BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7).
Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa yeyote mwenye kuwa nayo tafadhali piga simu namba hii 0755 401 084.
Uwe tayari ikaguliwe na fundi.
Shukrani!