Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #2,481
Ukipata Vanguard nyeusi kali uniPM. kuna jamaa yangu anaitaka haraka sanaKupitia uzi huu tutakupa taarifa za magari mbalimbali yanayopatikana kwenye stock yetu kwa ajili ya kuuza
Fuatana nasi kwenye comments hapo chini
Ikiwa una gari unahitaji kuuza kwa haraka au kununua. Tufikie kwa namba 0719972458
Karibu sana
Instagram @magari_aina_zote
Powa mkuu, nakurudia siyo muda🙏🤝Ukipata Vanguard nyeusi kali uniPM. kuna jamaa yangu anaitaka haraka sana