Katika msimu huu wa Ramadhani tunakupa fursa ya kujipatia gari ya ndoto yako kwa bei powa kuliko ulivowahi kufikiria.
Ofa zetu ni kwa magari yaliyotumika hapa Tanzania na yale ambayo hayajawahi kutumika hapa Tanzania.
Kwa magari ambayo hayajawahi kutumika hapa Tanzania; tunakufanyia usajili bure.
Pia kutokana na janga la Corona tunakuletea gari ulipo kwa Dar (Hii ni kwa baadhi ya magari).
Ikiwa pia unauza gari lako lilo ktk hali nzuri tutakutafutia mteja kwa haraka na urahisi kupitia kanzidata(database) yetu ya wateja.
Tupigie sasa/Whatsap: 0719972458
Tufollow Instagram kwa updates za haraka za magari..follow @magari_aina_zote @magari_aina_zote @magari_aina_zote
ASANTENI🙏🏾