Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #561
Nataka nikupe gari nzuri.Nina bajeti ya mil. 3 na ushee hivi, hebu nioneshe ka vitz kaliko kaa poa.
Kakumfaa 'wife' wangu.
Unaweza kunitumia picha hata pm mkuu!?Nataka nikupe gari nzuri.
Ongeza hapo 1.5M alafu nitafute 0719972458