Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #681
Bila shaka tumeongea mkuumkuu nina mil 5 ntapata gari gani nzuri?
Kuna sehemu humuhumu JF jamaa kaweka price 50M naona umeamua kuongeza 10M.Hitachi Excavator
Registration DQR
Yellow in Color
Year 2000
CC 600
Fuel used Diesel
Model EX60
Imported From Japan
Location: Dar
Asking for: 60M
Call/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
View attachment 1623574View attachment 1623575View attachment 1623576View attachment 1623578View attachment 1623579
Kuna sehemu humuhumu JF jamaa kaweka price 50M naona umeamua kuongeza 10M.
Excavator/kijiko kinauzwa
Habari Excavator yaani kijiko kinauzwa kipo mkoani Iringa. Bei Tsh 50M. Kipo ktk hali nzuri ni cha kijapani imara Kwa maelezo zaidi ya engine nk na attach card yake. Lakini ukitaka maelezo zaidi ya kiufundi wasiliana nami nikuunganishe na mmiliki. Mimi namfanyia tu udalali Kuletwa Dar au...www.jamiiforums.com
Huwezi kupata bossSpacio new model black Namba D kama 5m