Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #941
Duuuu Magari yooote yanayouzwa Kibongobongo Mileage lazima iwe below 100,000! Unakutana na Mkangafu wa RAV 4 namba CBF lkn mileaage ni 60K, ukiufuatilia vzuri wakati unaingizwa Nchini mwaka 2009 utakuta uliingia na Mileage ya 135K. Naona kibongo bongo hizi Odometer zinasoma kinyumenyume. Infact Digit moja ya mwanzo inanyofolewa waya wake au kuwekwa gundi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili nalo inabidi tuwashirikishe Wizara ya Ujenzi na Polisi ili huu utapeli ukomeshwe.
Zingatia, ukiona unauziwa gari Used Hapa Bongo Mileage iko below 100,000 tambua kuwa unapigwaaa! Narudia Unapigwaaaa na wakati mwingine jiandae kununua Dashbord Clock maaana odometer itakafikia 99,999 itapoteza dira maana ishafanyiwa kitu mbaya digits za mwanza zimeuwawa hapo.Aisee umenielimisha maan nimekuwa nikijiuliza sana unakuta namba DBP ila km 55,000 sasa unajiuliza hii gari ilikuja na km sifuri au?
Zingatia, ukiona unauziwa gari Used Hapa Bongo Mileage iko below 100,000 tambua kuwa unapigwaaa! Narudia Unapigwaaaa na wakati mwingine jiandae kununua Dashbord Clock maaana odometer itakafikia 99,999 itapoteza dira maana ishafanyiwa kitu mbaya digits za mwanza zimeuwawa hapo.
So unaponunua ina Mileage 35,000 hapo Probably ilikuwa 135,000 waya wa Digit 1 umenyofolewa au wakati mwingine.....
Anyway ngoja niishie hapo maaana huu mchezo kwa sasa umeshamiri.
Piga simu mkuu 0719972458Toyota rush znaendaje?
Karibu mkuuNimependa
Mi najua ukiinyofoa waya na speed inakuwa haisomi sasa utajuaje kama spid na service uko navyo sawa.Zingatia, ukiona unauziwa gari Used Hapa Bongo Mileage iko below 100,000 tambua kuwa unapigwaaa! Narudia Unapigwaaaa na wakati mwingine jiandae kununua Dashbord Clock maaana odometer itakafikia 99,999 itapoteza dira maana ishafanyiwa kitu mbaya digits za mwanza zimeuwawa hapo.
So unaponunua ina Mileage 35,000 hapo Probably ilikuwa 135,000 waya wa Digit 1 umenyofolewa au wakati mwingine.....
Anyway ngoja niishie hapo maaana huu mchezo kwa sasa umeshamiri.
Every digit has its own channel brother.Mi najua ukiinyofoa waya na speed inakuwa haisomi sasa utajuaje kama spid na service uko navyo sawa.