Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,101
6 m bossKaribu mkuu
Bajeti yako ngapi?
Ipo chini mkuu, hata namba C huwezi kupata6 m boss
Daah..! Inaweza kuongezeka ngapi labda..?6 m boss
3.5M at leastDaah..! Inaweza kuongezeka ngapi labda..?
Mmhh! Impossible..3.5M at least
Mimi ndo nipo sokoni, chukua ushauri wanguMmhh! Impossible..
Sawa ila bei kali mjomba..!Mimi ndo nipo sokoni, chukua ushauri wangu
Kwa 6M utapata namba B. ukipata C ni kwa bahati sanaSawa ila bei kali mjomba..!
Natafuta D ata nikiongeza ikawa saba ila lazima iwe D kuja juu. Lakini pia gari ni utunzaji tu unaweza kuta namba B ni bora zaidi ya D kama imetunzwa vyema.Kwa 6M utapata namba B. ukipata C ni kwa bahati sana
Anyway, endelea kutafuta mkuuNatafuta D ata nikiongeza ikawa saba ila lazima iwe D kuja juu. Lakini pia gari ni utunzaji tu unaweza kuta namba B ni bora zaidi ya D kama imetunzwa vyema.
Vitz RS ipo, hit my whatsap inbox 0719972458