Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,261
Gari ya mwaka 2005 iuzwe 32m? Mna masihala sana ama mna wateja wenu mandezi.Harrier New Model
Chassis #
Fully Options
Black Seats
Very Clean Interior
Automatic Boot
Mwaka 2006
CC 2490
Mileage 65,421Km
Engine 2AZ
Clean Dashboard
Petrol Engine
Five Seater
Automatic Drive
Alcantara Version (Leather seats inside)
Panoramic Sunroof
DVD Radio & Reverse Camera
Five Seater
Alloy Rims 22" & Good Tyres
Location: Dar
Price 32M
Call/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
View attachment 1724164View attachment 1724165View attachment 1724166View attachment 1724167View attachment 1724168View attachment 1724169View attachment 1724171View attachment 1724172View attachment 1724173View attachment 1724174View attachment 1724175View attachment 1724176
Karibu TanzaniaGari ya mwaka 2005 iuzwe 32m? Mna masihala sana ama mna wateja wenu mandezi.
Hii gari niliiona pale opposite na Mlimani city, nikauliza bei nikaambiwa 31m, nikauliza ina nini cha ziada hadi iuzwe 31m gari ya 2005.
Kodi yake haizidi 12 pamoja na usajili, ina maana gii gari imenunuliwa dollar 8500? Gari ya 2005?
Madalali wa bongo acheni tamaa. Harrier ya 2005 kuiagiza na kulipa ushuru wake wote na kila kitu haizidi 25m, eti 32m, aisee.
nomA sanaGari ya mwaka 2005 iuzwe 32m? Mna masihala sana ama mna wateja wenu mandezi.
Hii gari niliiona pale opposite na Mlimani city, nikauliza bei nikaambiwa 31m, nikauliza ina nini cha ziada hadi iuzwe 31m gari ya 2005.
Kodi yake haizidi 12 pamoja na usajili, ina maana gii gari imenunuliwa dollar 8500? Gari ya 2005?
Madalali wa bongo acheni tamaa. Harrier ya 2005 kuiagiza na kulipa ushuru wake wote na kila kitu haizidi 25m, eti 32m, aisee.
Jamaa wanatuonaje lakini.nomA sana
Aisee ni balaa.Karibu Tanzania
Hii gari kali kuanzia Plate numberToyota Allion
Registered #DDU
Year: 2003
CC:1790
Engine 1ZZ
Full AC
Silver in color
Key to Start
Fog Lights
Clean Seats
Good Tyres + Rims sport Kalii
Full Sound/Music system + FM Radio
Clean seats inside
Full Documents (File)
Fuel Petrol
Transmission Auto
Seating Capacity 5
No damage or technical problem
Imported From Japan
Gari ni kali sana. Iwahi mapema
Excellent condition
Location: Dar
Price: 9.3M
Call/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
View attachment 1707719View attachment 1707720View attachment 1707721View attachment 1707722View attachment 1707723View attachment 1707724
Huenda ina VIP protectionAisee ni balaa.
Ukiangalia kwenye masoko ya gari za japan zilizotumika kama Harrier nyingi za mwaka 2003 haizidi Dollar 4500, sawa na 9m, ushuru ni kama 11m, jumla 20m, jamaa wanauza 29m.
Jana tu nimeona gari ya 2008, km 40k, dollar 5500 sawa na 12.6m, ushuru 14.2m, jumla 27m, kwa hawa jamaa watakuuzia 25m
HUJALAZIMISHWA KUNUNUA ACHA KUCHOSHA WATU NA KULIALIAAisee ni balaa.
Ukiangalia kwenye masoko ya gari za japan zilizotumika kama Harrier nyingi za mwaka 2003 haizidi Dollar 4500, sawa na 9m, ushuru ni kama 11m, jumla 20m, jamaa wanauza 29m.
Jana tu nimeona gari ya 2008, km 40k, dollar 5500 sawa na 12.6m, ushuru 14.2m, jumla 27m, kwa hawa jamaa watakuuzia 35m
Huwezi kuleta bei zako za kidwanzi tusikwambie.HUJALAZIMISHWA KUNUNUA ACHA KUCHOSHA WATU NA KULIALIA
HII NI BIASHARA HURIA. KUNA MTU KAKUSHIKIA SILAHA KWAMBA LAZIMA UNUNUE? ACHA KULIALIA MKUU. UKISHAAMUA KUMILIKI GARI HAKIKISHA UMEJIPANGAHuwezi kuleta bei zako za kidwanzi tusikwambie.
Anatusaidia na wengineHUJALAZIMISHWA KUNUNUA ACHA KUCHOSHA WATU NA KULIALIA
Mkuu unge mjibu taratibu, ili kuondoa taswira kwamba Kuna upigaji. Sasa ukisema mtu ajipange una maana ajipange kupigwa!HII NI BIASHARA HURIA. KUNA MTU KAKUSHIKIA SILAHA KWAMBA LAZIMA UNUNUE? ACHA KULIALIA MKUU. UKISHAAMUA KUMILIKI GARI HAKIKISHA UMEJIPANGA
Unashangaa hilo wakati kuna mwenzako aliambiwa kuna haria kali ipo no DV inauzwa 25 mpka 22 bei ya kutupwa akajibu atarud kulipia kesho yake akaenda usiku kuingia mtandaoni akaagiza haria japan pasipo kuangalia gharama ya kodi aliipata kama kwa 10m kilichotokea gari ilivyofika hapa pamoja na ushuru inakimbilia 30m wakati yeye aliweka hela ya ushuru 6m now amekuwa kama chiziAisee ni balaa.
Ukiangalia kwenye masoko ya gari za japan zilizotumika kama Harrier nyingi za mwaka 2003 haizidi Dollar 4500, sawa na 9m, ushuru ni kama 11m, jumla 20m, jamaa wanauza 29m.
Jana tu nimeona gari ya 2008, km 40k, dollar 5500 sawa na 12.6m, ushuru 14.2m, jumla 27m, kwa hawa jamaa watakuuzia 35m
Mimi namshangaa mtu anavyosema gari ni ghali mara ukiagiza japan ni bei ndogo.Unashangaa hilo wakati kuna mwenzako aliambiwa kuna haria kali ipo no DV inauzwa 25 mpka 22 bei ya kutupwa akajibu atarud kulipia kesho yake akaenda usiku kuingia mtandaoni akaagiza haria japan pasipo kuangalia gharama ya kodi aliipata kama kwa 10m kilichotokea gari ilivyofika hapa pamoja na ushuru inakimbilia 30m wakati yeye aliweka hela ya ushuru 6m now amekuwa kama chizi
Mzee mstaafu