Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,281
Aagize tuu Japan mkuu, kama pia akipata sehemu penye bei nzuri kuliko yetu anaweza kununua hapo maana hii ni biashara huria.Mkuu unge mjibu taratibu, ili kuondoa taswira kwamba Kuna upigaji. Sasa ukisema mtu ajipange una maana ajipange kupigwa!
Kwahiyo kauli yako utakua umepeperusha ndege wengi sana.
DV 25 million, angalia ni ya mwaka gani pia, imetembea umbali gani, na zingine kule japan huwa wanazifanyia minada kama kuzitoa hivi kwenye stock. Madalali ndio huzichukua hizo na kuja kuziweka flesh hapa na kuzipiga bei. Mfano kuna Crown hadi kuifikisha hapa bonge na mazaga zaga yote haizidi 12 million, ila madalali gari hiyo hiyo nakutwanga million 16 , 17 au hata 18 kwa mtu asie juaUnashangaa hilo wakati kuna mwenzako aliambiwa kuna haria kali ipo no DV inauzwa 25 mpka 22 bei ya kutupwa akajibu atarud kulipia kesho yake akaenda usiku kuingia mtandaoni akaagiza haria japan pasipo kuangalia gharama ya kodi aliipata kama kwa 10m kilichotokea gari ilivyofika hapa pamoja na ushuru inakimbilia 30m wakati yeye aliweka hela ya ushuru 6m now amekuwa kama chizi
Mzee mstaafu
Shida mkuu, kuna walengani na madalali wachache wasio waaminifu wana haribia wengine. Binafsi napenda kununulia gari ndani, ule mda wa kupoteza siku kazaa sina, ila ndio akili nyingi kichwani ukikutana na madalali fyongo unapigwa..Mimi namshangaa mtu anavyosema gari ni ghali mara ukiagiza japan ni bei ndogo.
Sikatai ni bei ndogo, je unaweza kununua bidhaa kwa sh 200 alafu uuze hiyohiyo 200?
Malalamiko mengine hayana msingi ni kwakuwa mtu amezoea kulalama tuu basi kila kitu kulalama, nonsense!
Unapo angali ushuru, ukumbuke kuangalia model sahihi ya gari. Unaweza ona ushuru chini au juu kama utakosea modelAisee ni balaa.
Ukiangalia kwenye masoko ya gari za japan zilizotumika kama Harrier nyingi za mwaka 2003 haizidi Dollar 4500, sawa na 9m, ushuru ni kama 11m, jumla 20m, jamaa wanauza 29m.
Jana tu nimeona gari ya 2008, km 40k, dollar 5500 sawa na 12.6m, ushuru 14.2m, jumla 27m, kwa hawa jamaa watakuuzia 35m
Madalali hua ni mbwa sana.DV 25 million, angalia ni ya mwaka gani pia, imetembea umbali gani, na zingine kule japan huwa wanazifanyia minada kama kuzitoa hivi kwenye stock. Madalali ndio huzichukua hizo na kuja kuziweka flesh hapa na kuzipiga bei. Mfano kuna Crown hadi kuifikisha hapa bonge na mazaga zaga yote haizidi 12 million, ila madalali gari hiyo hiyo nakutwanga million 16 , 17 au hata 18 kwa mtu asie jua
View attachment 1733028
Mie sina hamu nao nawaelewa vizuri sanaaaMadalali hua ni mbwa sana.
Samahani mkuu.
Mkuu model si hizi acu30 ama acu 35 na unazipata kwenye VIN number namba za mwanzo, sio?Unapo angali ushuru, ukumbuke kuangalia model sahihi ya gari. Unaweza ona ushuru chini au juu kama utakosea model
Ni hizo hapa kutokana na TRA , wengi wamekuwa wanakutana na visanga kwenye ushuru kwankuchanganya mafailMkuu model si hizi acu30 ama acu 35 na unazipata kwenye VIN number namba za mwanzo, sio?