Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,341
Hahaha kuna baadhi ya madalali hawana utu kabisa hapa mwezi wa pili wamemuuzia mwalimu passo namba DBA
Kwa million 9 wakati mpya unaweza pata kuanzia 7.5 yaani sio poa kabisa hawa watu kuna mda huwa nawachukia [emoji35]japo sio wote
Karibu sanaNataka gari ya million 7