Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,581
Ndiyo mkuu, Karibu sana.bei zaka ni pamoja na kodi zote?
Gari la mwaka 2003, miaka 18 iliyopita.Toyota Premio F
Kali zaidi ya Chassis #
Registration #DUV
Silver in Color
Mwaka 2003/04
CC1490
Km 50,000
9" Android Radio + Reverse Camera
New Rim'sport + 4 New Tires
Leather Seats Cover
1Yr comprehensive Insurance
Formical Stearing
Auto watch Alarm system
Very Clean interior & Exterior
Bumper lamp
Full File
Transmission Auto
Seating Capacity 5
Imported From Japan
Jack
Spare Tire
Wheel Spanner
Location: Dar
Price 14M
Call/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
View attachment 1781384View attachment 1781385View attachment 1781386View attachment 1781387View attachment 1781388View attachment 1781389View attachment 1781390View attachment 1781391View attachment 1781392View attachment 1781393
NilGari la mwaka 2003, miaka 18 iliyopita.
Bado kidogo tu liwe la karne iliyopita!
Kama lingekuwa mtu lingeshafikisha umri wa kupiga kura.
Mkuu, pitia premio zoteutaona tatizo hilo. Niliwahi kusema hiliHalafu lina km 50,000.
Miaka yote hiyo lina average ya km 2,777 kwa mwaka.
Hizi figures ni sawa jamani?
Sasa hapo wanarudisha KM nyuma au vipi?Nil
Mkuu, pitia premio zoteutaona tatizo hilo. Niliwahi kusema hili
Hawana hata aibu?Wanachezea kilometres
Hiyo ndio habari ya mjiniSasa hapo wanarudisha KM nyuma au vipi?
Ukinunua gari mtandaoni inabidi ujiongeze, linganisha bei, mwaka wa kutengenezwa na kilometres zake, mara nyingi wanafuta tarakimu ya mbele, kuna jamaa yangu aliniambia hasa befoward.. Hiyo usikute ni kilometa 150000, wamefuta tarakimu ya mbele.Hawana hata aibu?
Gari la mwaka 2003 lina KM 50,000.
Ukikuta gari mwaka 2004 huko inasoma kilometa 134700 huko, kuwa na imani nayo kuliko hizi za gari inasoma kilometa 42000Ukinunua gari mtandaoni inabidi ujiongeze, linganisha bei, mwaka wa kutengenezwa na kilometres zake, mara nyingi wanafuta tarakimu ya mbele, kuna jamaa yangu aliniambia hasa befoward.. Hiyo usikute ni kilometa 150000, wamefuta tarakimu ya mbele.