Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,601
Ni kosa kisheria kufuta ODO METER kwahiyo company kama company huwa hawafuti mileage ya gari kwani gari linapo letwa kutoka Japana huwa kuna sticker huwekwa kwenye kioo cha mbele ina rangi ya NJANO HUWA huonesha gari ina Mileage kiasi gani.Ukinunua gari mtandaoni inabidi ujiongeze, linganisha bei, mwaka wa kutengenezwa na kilometres zake, mara nyingi wanafuta tarakimu ya mbele, kuna jamaa yangu aliniambia hasa befoward.. Hiyo usikute ni kilometa 150000, wamefuta tarakimu ya mbele.
Kuanzia 14M na kuendeleaToyota IST ya mwaka 2006 inasimama bei gani? Ila nipe bei ya Covid-19, sio bei ya kishua. Kuna jamaa aliniulizia juzi kati nikamwambia ntamuulizia.
Shukrani sana mkuuNtampa namba zako mkuu.
karne (Century) ni miaka 100,naona ww unazungumzia muongo (decade) ya miaka 10Gari la mwaka 2003, miaka 18 iliyopita.
Bado kidogo tu liwe la karne iliyopita!
Kama lingekuwa mtu lingeshafikisha umri wa kupiga kura.
Halafu lina km 50,000.
Miaka yote hiyo lina average ya km 2,777 kwa mwaka.
Hizi figures ni sawa jamani?