Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #1,641
Hivi serious gari la 2006 miaka 15 iliyopita lakini ina km 60,000 ukisema imetumika miaka kumi ina maana kwa mwaka ilikua inatembea km 6,000 tu, kwa mwezi km 500 na kwa siku km 16. Yani service mbili tu kwa mwaka. Very interesting na watu wanajua kukaa na magari.... Ukisema imetumika miaka 12 ina maana km 5000 kwa mwaka kwa mwezi km 480, kwa siku 13km.....Toyota Raum
Karibu Uagize Nasi
Year 2006
CC 1490
Km 60,000
Blue in color
Clean Interior
Five Seater
DVD Radio
Rear Camera
Fuel Petrol
Good Tires
Fuel Petrol
Transmission Auto
Seating Capacity 5
Jack
Spare Tyre
Wheel Spanner
Location: Japan
Price 12M
Call/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
View attachment 1850594View attachment 1850595View attachment 1850596View attachment 1850604View attachment 1850605View attachment 1850606View attachment 1850607View attachment 1850608
View attachment 1850609
Nadhani hapo ulitaka uone km 150,000 ndo uridhike. Acha kukariri ndugu. Wazungu siyo kama sisi ambao unakuta una gari moja na unaitumia kwa kila safari. Pili hayo mahesabu yako yanawezekana kabisa kama kazini siyo mbali.Hivi serious gari la 2006 miaka 15 iliyopita lakini ina km 60,000 ukisema imetumika miaka kumi ina maana kwa mwaka ilikua inatembea km 6,000 tu, kwa mwezi km 500 na kwa siku km 16. Yani service mbili tu kwa mwaka. Very interesting na watu wanajua kukaa na magari.... Ukisema imetumika miaka 12 ina maana km 5000 kwa mwaka kwa mwezi km 480, kwa siku 13km.....
Kila gari imewekwa bei. Angalia vizuri mwishoni mwa maelezo utaona.weka na bei ...
1. NINA RAV 4 NA HARRIER PIA NAUZA NJOO PM
Bei za Kuagiza Rav4 ni kama ifuatavyo;Rav 4 bei gani?
ThanksKupitia uzi huu tutakupa taarifa za magari mbalimbali yanayopatikana kwenye stock yetu kwa ajili ya kuuza
Fuatana nasi kwenye comments hapo chini
Ikiwa una gari unahitaji kuuza kwa haraka au kununua. Tufikie kwa namba 0719972458
Karibu sana
Instagram @magari_aina_zote