Chukua 7.5m, ipo kwenye mfuko wa shati hapaToyota IST
Mwaka 2006
CC 1298
Bei 8.8M
Location: Dar
Gari haina tatizo na haijarudiwa rangi
Piga 0719972458
Wasap[emoji1542]Partager sur WhatsApp
WE ACCEPT CAR ORDERS, PLACE YOUR ORDER NOW[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1357883View attachment 1357884View attachment 1357885View attachment 1357886View attachment 1357889View attachment 1357890View attachment 1357891
Hapana chief
Natafuta Toyota Rush bajeti 10M
Ninayo mkuu, bei 13.5MHizi gari adimu sanA mimi mwnyw natafuta
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unataka ambayo haijatumika Tanzania?Vitz New Model Km Isizidi 60,000 Nitapata Kwa Tsh Ngapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
ya mwaka gani?Hiyo juu ni Toyota IST
kutoka Japan Haijatumika Tz
CC 1290
KM 70500
Bei Mil 13
nipigie 0784112347
yeyote mkuu, iwe haijatembea KM nyingii tuUnataka ambayo haijatumika Tanzania?
Mark x zio bei gani mkuuIpo nyeusi namba DFN, bei 13.5M mkuu
Hizo gari ziko juu kidogo kwenye bei lakini ni gari nzuri sana.
KARIBU SANA
Piga/wasap 0719972458
Sawa mkuu, nitakuchekia na kukupa beiyeyote mkuu, iwe haijatembea KM nyingii tu
Mark x ipo kwenye uzi huu.
Siyo ile mzee nata mark x zio mkuuMark x ipo kwenye uzi huu.
Usajili namba DMM, Rangi silver
Bei 9.5M (Maongezi yanaruhusiwa)
Karibu sana mkuu.
Namba zetu ziko wazi 24/7.
Tupigie/wasap 0719972458
Mkuu hiyo siyo zioMark x ipo kwenye uzi huu.
Usajili namba DMM, Rangi silver
Bei 9.5M (Maongezi yanaruhusiwa)
Karibu sana mkuu.
Namba zetu ziko wazi 24/7.
Tupigie/wasap 0719972458
Sawa mkuu, nakuchekia