FOB?
Then transport,taxes ni juu yake?
Hiyo siyo FOB bali ni CIF.
Mkuu vipi harrier ya 98 au 99, ya cc 2200, FWD with less than 100,000 milage isiwe nyeupe, naweza kupata kwa bei gani?
Mkuu vipi harrier ya 98 au 99, ya cc 2200, FWD with less than 100,000 milage isiwe nyeupe, naweza kupata kwa bei gani?
Hazifunguki mkuu!Possibly but what I ment is hyo ni bei ya kununulia kule japan na haihusishi gharama ya kufika hapa tz! Vp mkuu umezipata picha za bighon, wizad na noah? Nimekutumia!
Hazifunguki mkuu!
toyota allex ya 2004 inafika ngap mkuu??
Nakuwekea pm mkuu!Duu pole mkuu, unapatikana wapi nikuletee mkuu?
toyota allex ya 2004 inafika ngap mkuu??
Nakuwekea pm mkuu!
mkuu natafuta rav 4 za zamaan 5 doors ambayo iko kwenye hali nzuri nitapata kwa 8-10m?