Kaka, hebu nipe mwongozo, Mitsubishi Rosa nitapata kwa Tsh ngapi? na je nikiisha toa Advance naweza kupewa hilo Gari, well in case mtaniruhusu kua na hilo Gari, baada ya muda gani natakiwa kumaliza deni?
Mkuu tunayo rosa ya mwaka 95 ambayo inauzwa 29.7million unaweza kutoa advance ya nusu bei lakin hyo balance utatakiwa ulipe baada ya wk 3 gari ikiwa tayar. Karibu mkuu
Thanks, how do we contact mkuu!
Nimekupata mkuu!ngoja niongeze msuri kidogo!soon nitakufuata tena.Ipo km78000 cc2500 bei tshs 24m. Karibu mkuu
Kaka kama hutajali naomba unipatie bei ya toyota run x
Nimekupata mkuu!ngoja niongeze msuri kidogo!soon nitakufuata tena.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Toyota Hiace 2009
Nissan Caravan 2009 zote zikiwa ni panki, au short wheel base. Bei zake?
Bei nafuu sana....
Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m
Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!! Or call 0768512931
Vipi Harrier cc2200 Engine 3S zipo na bei ngapi?
Toyota hiace tshs21,600,000 na caravan 33,500,000 karibu mkuu
Ipo ya 2000 cc2500 km 123000 bei 22m. Karibu mkuu
Bei zako kubwa..Kama maana hiyo gari cif dar ni btween 3000-3400 ushuru wake ni ni kama USD 3410
Tupo kinondon block 41, number 0768512931
Hiyo number haipo hewani. Natafuta noah old model. Kama unazo nipe bei na specification zake. ukipata 4WD itakuwa vizuri zaidi.
Bei nafuu sana....
Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m
Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!! Or call 0768512931