Magari moja kwa moja toka Japan

Mkuu nahitaji Mazda Demio ya 2002 kama ipo je ni kiasi gani??
 
natafuta gari aina yaToyota Wish nipeni na bei zake

Mkuu ipo moja dark blue, mileage 89,000km original, year 2004. Meli inaingia tarehe 3 July 2013. Kama umeipenda tuwasiliane kwa pm ili ikitoka tumalize biashara, bei nitakufanyia 12.8M including ushuru na registration.

 
mkuu nimekupenda kila swali unajibu unacustomer care kama mpakistan,okay nataka kubadilisha nina cresta kwa toyota wish au cami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…