Kwa Kweli alikuwa Bado mdogo,kila kitu kina uzuri na Ubaya wake,Enzi za punda na ngamia watu walihofia wanyama wakali na majambazi!Diogo Jota naye kafariki leo kwa ajali
View attachment 3392697
Mwandishi nae kaandika kisa ni kifo cha diogo jota wala si wahanga wengine waliomuamsha kuandikaDiogo Jota naye kafariki leo kwa ajali
View attachment 3392697
Ukishapata ajali ni bora ufe kuliko kuwa kilema aise!Tena saa nyingine unatamani ungekufa kuliko mateso na kua omba omba