mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Au tumebweteka kutumia vya wenzetu tu?
Mdau mbona hakuna tecnolojia na nyenzo mpya? Tumekalia modification tu gari linawekwa maurembo tu, sijui v8, sijui nini mayai, sijui kibao.
Karine hii tunasafiri masaa 13 Arusha Moshi.
Karine hii tunamulikana tochi barabarani kupunguza speed!
Ooohhh shiti!