We jamaa una akili sana tena sana. Big up !Au tumebweteka kutumia vya wenzetu tu?
Mdau mbona hakuna tecnolojia na nyenzo mpya? Tumekalia modification tu gari linawekwa maurembo tu, sijui v8, sijui nini mayai, sijui kibao.
Karine hii tunasafiri masaa 13 Arusha Moshi.
Karine hii tunamulikana tochi barabarani kupunguza speed!
Ooohhh shiti!
Tunapoteza muda mwingi sana barabarani,halafu tunajidai tunatafuta maendeleo,ndio mana wazungu wanasema "there is no Harry in africa" kama kwa sasa wameanza na msako wa kukamata magari usiku mpaka keroAu tumebweteka kutumia vya wenzetu tu?