Magari: Toyota Porte na Siènta

Safi mkuu....vipi raum
 
Habari wandugu.

Mwezi wa kumi mwaka huu, nakusudia kuchukua usafiri...
Sienta
1.Porte bei yake kuanzia 8.9 mil
2.Sienta bei yake kuanzia 8.5 mil
Kwa hizo hapo mbili bora uchukue sienta kwasabab ina space kubwa
 
Habari wandugu.

Mwezi wa kumi mwaka huu, nakusudia kuchukua usafiri...
Pia kuna gari zingine ambazo bei yake ni chini ya 10M mfano
1. Vitz 2001 model price kuanzia 8 mil
2. Vitz 2005 model price kuanzia 9.5 mil
3. Toyota Bb price kuanzia 9.8 mil unapata used from japan
4. Raum 2003 model unapata kuanzia 9.7 mil
5. Terios kid kuanzia 9.4 mil
6. Passo kuanzia 7.9 mil
 
Habari wandugu.

Mwezi wa kumi mwaka huu, nakusudia kuchukua usafiri...
Kama other things kept constant, na huna other alternatives, Porte abiria wa Nyuma anapitia mbele (usumbufu), yaani ina milango mitatu,

Chukua Sienta yenye 5doors.
 
Kwa kuanzia ukitaka gari nzuri ya kwanza kumiliki, nunua ya mkononi hapa bongo, wapo wanaouza kwa shida na gari zimetunzwa vizuri, chenchi fanyia mambo mengine
 
Kwa kuanzia ukitaka gari nzuri ya kwanza kumiliki, nunua ya mkononi hapa bongo, wapo wanaouza kwa shida na gari zimetunzwa vizuri, chenchi fanyia mambo mengine
Wazo ni zuri na hata humu wapo walioshauri. Issue ni kupata hiyo gari wakati unapoihitaji.

Mfano, mwezi ujao mwishoni nitakapopata hiyo pesa, sijui kama itatokea nikapata gari inayouzwa itakayoendana na bajeti yangu. Na mm sintataka kukaa na hiyo pesa kwa muda mrefu, yaweza tokea mengine nikaipunguza. Ndio maana nikaona nicheki na yard kabisa

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Honda fit na Runx ipi unaweza mshauri mtu kuichukua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…