jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #501
hiitoyota gx100
full ac
engine beams 2000
bei 3.7m
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
Sent using Jamii Forums mobile app
ziko vizurj tu zamani zilikuwa zinaogopwa sababu spare kidogo zilikuwa chache na ghali lakini siku hizi spare ni nyingi sana mtaani na bei nzuriWajuzi wa magari naomba munijuze nataka kununua gari aina ya x tray je matatizo yake ni yapi? Hasa katika engine je inaweza kwenda mbali katika mlilma kama kwenda Mbeya kutoka Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app