jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #541
X trayWajuzi wa magari naomba munijuze nataka kununua gari aina ya x tray je matatizo yake ni yapi? Hasa katika engine je inaweza kwenda mbali katika mlilma kama kwenda Mbeya kutoka Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni saba vp inaenda?*[emoji594][emoji594]TOYOTA CROWN*
*MWAKA 2005*
*CC 2490*
*BEI 10.5*[emoji91][emoji91]
*FULL A/C*
*TAIR MPYA*
0623953036 whatsapp/callView attachment 1446022View attachment 1446023View attachment 1446024View attachment 1446025View attachment 1446026View attachment 1446027View attachment 1446028
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hailipi mkuuMilioni saba vp inaenda?
Unaposema injini ndogo unamaana gani? cc zake hazitamkiki?ziko vizurj tu zamani zilikuwa zinaogopwa sababu spare kidogo zilikuwa chache na ghali lakini siku hizi spare ni nyingi sana mtaani na bei nzuri
karibu tukuhudumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss bado ipo?Toyota gx 100
Engene 1g kavu
Ni kuwasha na kuondoka
Bei 2.8m
Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/callView attachment 1394722View attachment 1394724View attachment 1394725View attachment 1394726View attachment 1394727View attachment 1394728
Sent using Jamii Forums mobile app