Car4Sale Magari used Tanzania

toyota corola
engine 5A
full music na ac
bei 5m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1515440

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Hizi manual hazipatikani?
 
toyota vitz
engine 1290cc
mwaka 2004
bei 6m

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
 
Hivi mkuu jerrybanks mbona kama hauko serious na unachokifanya?

Ingekuwa ni wewe unataka kununua gari hizo picha 2 ndio zingekupa view unayoitaka?

Kabla hujapost hebu jiulize kama ni wewe ungekuwa mnunuzi ungehitaji kuona nini na nini kwenye hiyo gari?

Kwa kukusaidia piga picha pande zote 4 ie mbele, nyuma na sides zote. Kisha piga engine, fungua boot piga picha, piga ndani (mbele na seat za nyuma) kisha weka details zote kama mileage, model, engine type nk nk.
 
nmekuelewa mkuu,kuna tatizo kwenye suala la picha na nilishawasiliana na wahusika najua nnachokifanya picha zmewekwa ila zmekuja zkiwa closed.
i hope wahusika wanalifanyia kazi JamiiForums
 
toyota ist
mwaka 2003
1290cc
bei 5.7m fixed

Je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/call
 
Nahitaji kirikuu carry bajeti 3m njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…