jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #1,141
toyota gx110
engine beams 2000
full ac
bei 6m
0623953036 whatsapp/callsView attachment 1889257View attachment 1889258View attachment 1889259
... Chief kwanini usifungue blog au website ukawa una-post huko? Utaweza pia kuweka picha na specs za kila gari na bei kwa urahisi. Pia ni rahisi wanunuzi kufuatilia kuliko hapa JF. Ushauri tu.Habari wapendwa,
Jina langu naitwa Jerry, najihusisha na biashara ya uuzaji wa magari ambayo yametumika Tanzania, kupitia uzi huu ntakuwa naweka magari mbalimbali ambayo nmekabidhiwa na wahusika ili nipate kuwauzia, magari hayo ni mazuri na yenye ubora ambayo ninayauza kwa bei nafuu pia.
Pia, kama unauza au unataka kununua gari nzuri yenye ubora basi naomba nitafute ili nipate kukupatia gari unalohitaji kwa gharama nafuu na bora kabisa.
Namba zangu ni
0659756647 whatsapp/calls
0623953036 whatsapp/calls
Sent from my iPhone using JamiiForums
hapa pia nauza ndug mwaka wa 4 sasa... Chief kwanini usifungue blog au website ukawa una-post huko? Utaweza pia kuweka picha na specs za kila gari na bei kwa urahisi. Pia ni rahisi wanunuzi kufuatilia kuliko hapa JF. Ushauri tu.
Dah nilikuwa na milioni mbili zangu nikakosa gari.nimeitafuna ndo nakutana na hii gari.Toyota gx100
mwaka 2000
engine 1990
bei 2m
je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/callView attachment 1889153View attachment 1889154View attachment 1889155View attachment 1889156
ukipata zingine karibu tukupe mkokoDah nilikuwa na milioni mbili zangu nikakosa gari.nimeitafuna ndo nakutana na hii gari.
Inaweza ukawa unauza lakini ukifanya alivyokushauri jamaa ukaongeza wateja zaidi...hapa pia nauza ndug mwaka wa 4 sasa
asante kwa ushauri
ntafanyia kazi ushauri wakeInaweza ukawa unauza lakini ukifanya alivyokushauri jamaa ukaongeza wateja zaidi...
Mfano mie hapa nahitaji gari ila kuanzia mwanzo wa uzi inakuwa mtihani, ni lazima niwe mttu nimaefatilia uzi mara kwa mara chief..
Lakini ukiwa na kiblog ama website ingekuwa rahisi aidha nitafute Gari kwa bajeti nilliyonayo ama niandike gari ninayoitafua hapo ni chap kwa haraka kaka