jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #1,201
Acha tamaa za kingese hii gari ipo magomeni inauzwa mil 7 kamili nyie ndio mnazuia wateja mxxsshhToyota ist
mwaka 2007
engine 1290cc
full ac
bei 8.5m
je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036 whatsapp/callView attachment 1937194View attachment 1937195View attachment 1937199View attachment 1937202View attachment 1937209
Acha tamaa za kingese hii gari ipo magomeni inauzwa mil 7 kamili nyie ndio mnazuia wateja mxxsshh
Rizki mil 1.5 nzima? Ana tamaa uyo boya matokeo yake anazuia gari kutoka angeweka laki 5 wala nisingeulizaHata kama ujue blocker nae hiyo ndo riziki yake bora ungem-pm
NduguAcha tamaa za kingese hii gari ipo magomeni inauzwa mil 7 kamili nyie ndio mnazuia wateja mxxsshh
Siwezi bishana na wewe dalali mpuuzi uliyejaa tamaa. Hiyo mwenyewe kanitumia nimtafutie mteja.Ndugu
ustaarabu ni jambo la muhimu sana na laki binadamu pia unamtukana vipi mtu msenge hakiyakuwa hakuna alichokukosea? hiyo gari mimi ndo mmiliki niliinunua/ilenga kwa mtu nikairekebisha ndo nkaiuza tena siyo 8.5 bali 8.7m, si kila gari ninayoiposti humu ni ya mtu ndugu nyingine zangu na kila siku nawauzia wana jamii forum magari.
Ndo maana thread yangu kama utaisoma kuanzia mwanzo mpaka chini hujamuona mtu yoyote aliyekuja kulalamika kauziwa kitu kibovu,kazulumiwa, au amekuja kwangu nikafanya mazingira magumu asipate gari.
to be honest kwa ulivyonitukana umenikwaza sana mungu atakulipa kwani sitokujibu kwa ubaya kama ulivyotarajia.
muulize aliyekutumia gari kuwa gari ilikuwa inamilikiwa na nani mbona mzee unakurupuka tu nini dhamira yako maana nmeshndwa kukudefine.
Kwa hiyo mmliki unaiuza mil 8.5 alafu dalali ndio anaiuza mil 7? Point yangu acha kuharibu biashara za watu mnasambaza gari kwa bei kubwa mpaka watu wanaogopa kununua kumbe bei ni kawaida.muulize aliyekutumia gari kuwa gari ilikuwa inamilikiwa na nani mbona mzee unakurupuka tu nini dhamira yako maana nmeshndwa kukudefine.
Leo na wewe umekuwa mstaarabu wa kutoa ushauri nasaha baada ya kutukanwa! Unaomba kabisa kwa Mungu akulipie kwa ubaya uliofanyiwa!Ndugu
ustaarabu ni jambo la muhimu sana na laki binadamu pia unamtukana vipi mtu msenge hakiyakuwa hakuna alichokukosea? hiyo gari mimi ndo mmiliki niliinunua/ilenga kwa mtu nikairekebisha ndo nkaiuza tena siyo 8.5 bali 8.7m, si kila gari ninayoiposti humu ni ya mtu ndugu nyingine zangu na kila siku nawauzia wana jamii forum magari.
Ndo maana thread yangu kama utaisoma kuanzia mwanzo mpaka chini hujamuona mtu yoyote aliyekuja kulalamika kauziwa kitu kibovu,kazulumiwa, au amekuja kwangu nikafanya mazingira magumu asipate gari.
to be honest kwa ulivyonitukana umenikwaza sana mungu atakulipa kwani sitokujibu kwa ubaya kama ulivyotarajia.
duh mzee matusi yote hayo nmekutukana mimi@Moderator naombeni muyapitia hayo matusi niliyomtukana bwana Tate Mkuu mkuu na ikiidhinishwa ni kweli naomba nipigwa ban maana ntakuwa niko nje ya masharti ya kutomia na kama anayoyasema ni ya uongo apigwe ban yeye kwa kumzushia sifa mbaya member mwenzieLeo na wewe umekuwa mstaarabu wa kutoa ushauri nasaha baada ya kutukanwa! Unaomba kabisa kwa Mungu akulipie kwa ubaya uliofanyiwa!
Kuna siku ulikuja humu jukwaani na uzi wako wa kufiwa. Kwa wema kabisa nikauliza iwapo ile taarifa ilikua inakuhusu mwenyewe, au uliitoa tu mahali fulani kwa lengo la kuja kutupa funzo kutokana na kushamiri kwa vifo vingi vya corona!
Kilichotokea ulinitukana matusi ya kutosha tu! Wewe msenge!! Kum.aamae nini sijui!! Nakukumbuka sana. Halafu leo eti unakuja kulia lia hapa ili uonewe huruma! Hii ndiyo maana ya KARMA. Kuwa tu mpole.
By the way, huu uzi wako huwa naupitia mara nyingi maana kuna gari naitafuta. Na hata siku nikiipata kwako, nitakutafuta tu kwa ajili ya kufanya biashara. Lakini kamwe siwezi kukusahau. Mtoto mdogo kiumri, halafu unatukana watu wazima matusi ya nguoni. Kisa umefiwa na wanafamilia yako.
Nenda kaukague ule uzi wako wa kufiwa na wapendwa wako, halafu uone. Bahati mbaya siyo mtaalam wa kufukua makaburi.duh mzee matusi yote hayo nmekutukana mimi@Moderator naombeni muyapitia hayo matusi niliyomtukana bwana Tate Mkuu mkuu na ikiidhinishwa ni kweli naomba nipigwa ban maana ntakuwa niko nje ya masharti ya kutomia na kama anayoyasema ni ya uongo apigwe ban yeye kwa kumzushia sifa mbaya member mwenzie
Nafikiri ilikuwa nafasi yako muhimu kuomba radhi kwa Tate na sio kutaka ban.duh mzee matusi yote hayo nmekutukana mimi@Moderator naombeni muyapitia hayo matusi niliyomtukana bwana Tate Mkuu mkuu na ikiidhinishwa ni kweli naomba nipigwa ban maana ntakuwa niko nje ya masharti ya kutomia na kama anayoyasema ni ya uongo apigwe ban yeye kwa kumzushia sifa mbaya member mwenzie