jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #1,261
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijawahi kukutana ma dalali muaminifu na mwenye moyo wa huruma kama wewe.gari zako nina imani ua unauza bei ambazo zinakaribiana sana na kile anachokihitaji mwenye gari.sahizi nimerudi kutembelea matako kwa kuniwezesha.mungu aendelee kukuongezea nina imano wapo pia waliofaidika na huduma yako na wamekushukuru kwa njia zao
Naona umeamua kumpigia promotionSijawahi kukutana ma dalali muaminifu na mwenye moyo wa huruma kama wewe.gari zako nina imani ua unauza bei ambazo zinakaribiana sana na kile anachokihitaji mwenye gari.sahizi nimerudi kutembelea matako kwa kuniwezesha.mungu aendelee kukuongezea nina imano wapo pia waliofaidika na huduma yako na wamekushukuru kwa njia zao
Amna mkuu kiukweli nimeona angalau kwa tunaoweza kumpongeza hapa basi si vibaya lakini pia kuwajengea imani hata wanaosita sita.lakini jamaa ni bonge la mtu kuliko hata udalali wenyewe ulivyoNaona umeamua kumpigia promotion
asante mkuu kwa feedbackSijawahi kukutana ma dalali muaminifu na mwenye moyo wa huruma kama wewe.gari zako nina imani ua unauza bei ambazo zinakaribiana sana na kile anachokihitaji mwenye gari.sahizi nimerudi kutembelea matako kwa kuniwezesha.mungu aendelee kukuongezea nina imano wapo pia waliofaidika na huduma yako na wamekushukuru kwa njia zao
Naona umeamua kumpigia promotion
Amina mkuuasante mkuu kwa feedback
lengo letu ni kuhakikisha mteja anapata gari nzuri kwa bei nzuri. kwani tunaamini huduma nzuri na nafuu ndo uwekezaji mkubwa katika biashara yoyote.
[emoji120][emoji120][emoji120] mkuu kwa feedbackJerry is a man and a half
ipo hyo inataka 8.5m