jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #101
toyota ist
mwaka 2002
km 89000
naiuza kwa 7.5m
gari ni kuwasha na kuondoka mkoa wowote,
kwa mahitaji ya kununua gari bora na kuuza gari yko pia nitafute kwa no zifuatazo ili nikuhudumie kwa haraka
0659756647
Ngoja nijipange afu nitakupigia
zHakuna scania 113 zipo mkuu karibu sana wasiliana nasi kupitia no 0659756647
toyota mark x
full option
push to start
imetembea 90000km
naiuza kwa 9m
haina shida yoyote kama ni wa mkoani ni kumwaga tu oil na kuanza safari
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari nitafute kwa namba 0659756647
View attachment 1049751View attachment 1049752View attachment 1049753View attachment 1049754View attachment 1049755
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona hizi gari zinauzwa bei sana kuliko Brevis, na Crown nazo bei
Mkuuraum zipo mkuu mara nyingi bei huwa kubwa kulingana na namba za usajili wa gari but zipo sema tu unataka namba ipi au una budget gani unaweza kunitafuta kwa 0659756647 nkusaidie kwa uharaka
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu nna hitaji Passo iliyosimama,km vp tuongee biasharatoyota passo
kwa wale wapenda gari nzuri kina dada wa kaka hiyo passo piston 3
full ac
gari ni mpyaaa
inataka 5.7m
kwa mawasiliano wasiliana nami 0659756647
kwa mahitaji ya kutaka kuuza gari yako au kununua gari bora nitafute kwa no hizo nipate kukusaidia kwa haraka
View attachment 1102244View attachment 1102245View attachment 1102246View attachment 1102247View attachment 1102248View attachment 1102249View attachment 1102250
Mkuu nna hitaji Passo iliyosimama,km vp tuongee biashara
Nina 4m Hapa na mimi nileteeni gari basi naona mushanunua yote hapo!! Hata uzi umenunaa...serious!