jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #1,601
Ina shida gani hii mkuu? Naitaka sema naskia spea zake kupata shida mjinmazda demio
engine 1490cc
full ac
bei 8.5m
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari yako tafadhali wasiliana nasi ili tukupatie wateja na huduma ya haraka tupo ilala na tunafanya kazi siku zote za week
0623953036 calls/whatsapp
View attachment 2220294
View attachment 2220295
View attachment 2220296
View attachment 2220297
View attachment 2220298
View attachment 2220299
spea zimejaa kibao siyo kama zamani na ndo maana unaviona vingi sku hizi mjiniIna shida gani hii mkuu? Naitaka sema naskia spea zake kupata shida mjin