Tofauti ni kuwa magari used yanayouzwa bongo ni magari ambayo yalishatumika na watu wengine kwenye nchi za kishua kama Japan, us, na uk kwa muda then baada ya kuona wameshayachoka wanaamua kuuza kwa nchi nyingine kama tz, kenya na uganda kwa bei nafuuu