A
Anonymous
Guest
Viongozi wilaya ya Siha fuatilieni wananchi wanateseka toka tarehe 26/06/2024 magari ya abiria aina ya Noah na Hiece (daladala) wamepandisha nauli kiholela, ambapo kutoka Boman' ombe mpaka Sanya nauli ya Hiace imepanda mpaka Tsh 1,500 kutoka Tsh 1,000. Hii imepelekea kuleta changamoto kwa wananchi wanyonge