Clack-Sniper
Member
- May 16, 2025
- 39
- 75
Ngoja waje tupate kudowea madiniHello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje?
Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l?
Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa Dar ni Brand moja tu ndio ina 0w20. Unatumia oil gani?
Service unafanya kama magari mengine tu. Oil uko sawa 0W20 unaweza tumia Liquimolly au Atlantik. Mi natumia Atlantic nishabadirisha mara mbili na inaenda fresh.Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa Dar ni Brand moja tu ndio ina 0w20. Unatumia oil gani?
Kuna kampuni moja kule Kenya unayatumia sana.Hello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje?
Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l?
Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa Dar ni Brand moja tu ndio ina 0w20. Unatumia oil gani?
Shukrani sana kwa mrejesho huu. Angalau napata Moyo maana nilifanya uamuzi wa kununua bila kujua Uhalisia wa Bongo.Service unafanya kama magari mengine tu. Oil uko sawa 0W20 unaweza tumia Liquimolly au Atlantik. Mi natumia Atlantic nishabadirisha mara mbili na inaenda fresh.
Service ya hybrid sio issue ila ukiwa na OBDII unyama na ukawa na App mfano ya Dr. Prius kukiwa na issue unasolve. Kingine kusafisha tu cooling system ya hybrid battery.
Ulaji wa mafuta ni kweli kama ilivokua advertised. Msimu wa joto kama huu kidogo naona matumizi yanaongezeka kufika 22-24 ila msimu mzuri 28km/L hapa mjini bila kutumia nguvu.
Angalia unapokaa. Mimi nishazoea gari zinazotambaa siwezi gari za juu.Shukrani sana kwa mrejesho huu. Angalau napata Moyo maana nilifanya uamuzi wa kununua bila kujua Uhalisia wa Bongo.
Vipi kuhusu ground clearance, Uliinyenyua? Maana naona somehow iko chini
Shukrani mkuu. Nimeijaribu naona siyo mbaya sana ila nadhani inbidi niweke tairi kubwa kidogo.Angalia unapokaa. Mimi nishazoea gari zinazotambaa siwezi gari za juu.
Badala ya kunyanyua, unaweza badirisha tyre. Ukaongeza profile. Sema itaongeza ulaji wa mafuta kidogo. Stock nyingi 60 unaweza kwenda 65 kama size ni R15 ila kama R14 nenda hadi 70.
Radio nyingi za JP hazinadirishiki lugha. Yaani wanaweza tengeneza same radio ila nyingine wakaiuza domestic JP tu. Hiyo inakua na navigation system ya JP tu na lugha yao wakati zile za international unakuta zina lugha nyingi.Shukrani mkuu. Nimeijaribu naona siyo mbaya sana ila nadhani inbidi niweke tairi kubwa kidogo.
Vipi unaweza jua wapi naweza badili lugha ya redio kwenda Kiingereza. Radio yake ni NSCP-W61 nimeambiwa kuna mahali wanafanya kariakoo ila sijapata mawasiliano yake
Mkuu hivi kwa 12m inawezekana kupata gari aina hyo (hybrid) kutka japan adi kukufikia mkononi?Radio nyingi za JP hazinadirishiki lugha. Yaani wanaweza tengeneza same radio ila nyingine wakaiuza domestic JP tu. Hiyo inakua na navigation system ya JP tu na lugha yao wakati zile za international unakuta zina lugha nyingi.
Kama yako inabadirishika jaribu hii video YouTube ya sekunde chache tu. Ukiona option ya English haipo basi ujue ni JP tu. Jifunze kuishi nayo na if possible usiweke izo cheap Android za Kariakoo za Laki 2 sijui 3. Acha iyo iyo jifunze kutumia Google Translate jua kuconect simu basi imeisha.
View: https://youtu.be/qyWgur20RJc?si=6wZwa--mJ83lxTNP
Shida hizo gari kama zinatumia bettri kuendesha injini ,sio za kupelekea fundi juxHello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje?
Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l?
Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa Dar ni Brand moja tu ndio ina 0w20. Unatumia oil gani?
Ahaa hii nimeiona redio yake ni tofauti. So nadhani inabidi niishi nayo tu. Siyo mbaya sanaRadio nyingi za JP hazinadirishiki lugha. Yaani wanaweza tengeneza same radio ila nyingine wakaiuza domestic JP tu. Hiyo inakua na navigation system ya JP tu na lugha yao wakati zile za international unakuta zina lugha nyingi.
Kama yako inabadirishika jaribu hii video YouTube ya sekunde chache tu. Ukiona option ya English haipo basi ujue ni JP tu. Jifunze kuishi nayo na if possible usiweke izo cheap Android za Kariakoo za Laki 2 sijui 3. Acha iyo iyo jifunze kutumia Google Translate jua kuconect simu basi imeisha.
View: https://youtu.be/qyWgur20RJc?si=6wZwa--mJ83lxTNP
UKiongeza 3.5M pale Jan International (Namanga) Unapata sahivi walikuwa kwenye offer ya Chrismass naona wameuza aina hii nyingi sana kwa hadi 15M,16MMkuu hivi kwa 12m inawezekana kupata gari aina hyo (hybrid) kutka japan adi kukufikia mkononi?
Mkuu mi muoga sanaa kununua gari hzi yard za bongo.....(Ujanja ujanja mwingi sanaa)UKiongeza 3.5M pale Jan International (Namanga) Unapata sahivi walikuwa kwenye offer ya Chrismass naona wameuza aina hii nyingi sana kwa hadi 15M,16M
kwa ufupi ukinunua gari hakikisha unaweza troubleshoot vitu vidogo vidogo kabla hujafika kwa fundi.Service unafanya kama magari mengine tu. Oil uko sawa 0W20 unaweza tumia Liquimolly au Atlantik. Mi natumia Atlantic nishabadirisha mara mbili na inaenda fresh.
Service ya hybrid sio issue ila ukiwa na OBDII unyama na ukawa na App mfano ya Dr. Prius kukiwa na issue unasolve. Kingine kusafisha tu cooling system ya hybrid battery.
Ulaji wa mafuta ni kweli kama ilivokua advertised. Msimu wa joto kama huu kidogo naona matumizi yanaongezeka kufika 22-24 ila msimu mzuri 28km/L hapa mjini bila kutumia nguvu.
Okay vizuri ukaenda na Mtaalamu, Mimi binafsi nimenunua mara ya kwanza 2020 Mpaka leo nikyemuuzia bado anayo. HaikunisumbuaMkuu mi muoga sanaa kununua gari hzi yard za bongo.....(Ujanja ujanja mwingi sanaa)
mkuu Jan international pale namanga wapo vizuri sana hawana ubabaishaji wanaamimika sanaMkuu mi muoga sanaa kununua gari hzi yard za bongo.....(Ujanja ujanja mwingi sanaa)
Mkuu. Unaweza lakini naona kama risk. Ila hapo mimi nitaipigia kura Honda Fit Hybrid GP1 (2013 kurudi nyuma). Ngoja tuone:Mkuu hivi kwa 12m inawezekana kupata gari aina hyo (hybrid) kutka japan adi kukufikia mkononi?
Mw ninaishi nayo. Nimesha onganisha simu na vitu vingine basi. Maana hauitumii kabisa kama navigation unatumia Google Map.Ahaa hii nimeiona redio yake ni tofauti. So nadhani inabidi niishi nayo tu. Siyo mbaya sana