Hakuna ubishi kuwa kwa wanamichezo wanaochipukia na kuwa mahiri katika michezo wanayoshiriki, wengi wao ndoto zao ni kumiliki vyombo vya usafiri vya gharama kubwa vyenye uwezo wa kuwa na kasi ya ajabu kwenye barabara, penginepo kama hali itaendelea kuwa nzuri basi wangependa wamiliki ndege binafsi hata meli.