Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,768 Reaction score 4,038 Oct 31, 2009 #1 Serikali ya Kenya imepiga marufuku viongozi wa serikali kutumia magari ya kifahari kama Benz, Volvo na Land cruiser na kuwataka mawaziri watumie Volkswagen ili kubana matumizi ya serikali. JE VIONGOZI WA TANZANIA WANALIWEZA HILI?
Serikali ya Kenya imepiga marufuku viongozi wa serikali kutumia magari ya kifahari kama Benz, Volvo na Land cruiser na kuwataka mawaziri watumie Volkswagen ili kubana matumizi ya serikali. JE VIONGOZI WA TANZANIA WANALIWEZA HILI?