A
Anonymous
Guest
Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo ya Viwanja maeneo ya Nsalaga.
Jamani tumekuwa tukilalamikia hizi kero za haya magari ya matangazo muda wa usiku na asubuhi kumbe wahusika wanaotakiwa kutusimamia ndio kwanza wanafanya haya maovu ni nani sasa atatutetea?
Tunachoka na mihangaiko ya siku nzima unakumbana na kelele either usiku kama hivi au mapemaa asubuhi kuanzia Saa 12 hata muda wa kupumzika tunakosa.
Huu ni uharibifu wa mazingira na usumbufu, mchana wazunguke kutupigia kelele na matangazo yao, usiku pia wafanye vilevile, bora basi ingekuwa ni matangazo ya dharura lakini mengine ni ya kawaida ambayo hayana umuhimu kiivyo.
Wenye mamlaka ya kuzuia ndio wanaofanya, sasa sijui tumlalamikie nani?
Pia soma
~ Kelele za matangazo mkoani Mbeya zimekuwa changamoto, mamlaka ziingilie kati
~ Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya