Magari ya mizigo makubwa ya kichina howo bei zake na uwezo wake (only horse)

Magari ya mizigo makubwa ya kichina howo bei zake na uwezo wake (only horse)

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
5,184
Reaction score
5,435
Poleni na kazi.
Mwenye kujua bei ya matrekta ya kichina Howo ya mizigo yanauzwaje yaani ile Horse ikiwa mpya.
Kama mtu aweza kufanya comparison na bei za scania horse si mbaya.
Nahitaji kujua kwani tunahitaji kuwekeza popote.

Nawasilisha kwa wenye utaalamu zaidi.

Cc Rrondo
 
Mkuu
Kampuni Ya Tata Nadhani Wana Account Yao Humu
Pia Kuna Jamaa Mmoja Alikuwa Analeta Habari Za Kuhusu Lory Howo Za China
 
Back
Top Bottom