Poleni na kazi.
Mwenye kujua bei ya matrekta ya kichina Howo ya mizigo yanauzwaje yaani ile Horse ikiwa mpya.
Kama mtu aweza kufanya comparison na bei za scania horse si mbaya.
Nahitaji kujua kwani tunahitaji kuwekeza popote.
Nawasilisha kwa wenye utaalamu zaidi.
Cc Rrondo