kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 126
- 9
INASIKITISHA KUONA MAGARI NA PIKIPIKI ZA POLISI YANAYO SINDIKIZA VIONGOZI WA NCHI MABOVU ILE MBAYA,HIVI HATA HUYO KIONGOZI ANAESINDIKIZWA HAONI KUWA HANA USALAMA WOWOTE AWAPO KATIKA MSAFARA? USALAMA UNA MAANA GANI BASI? Mna sanii mpaka usalama wenu wenyewe? Doh....! kweli hii TZ.
Kwanza hakuna anaetaka kuwaua wale, hata wakitembelea BAJAJI!
Tunachotaka sisi ni kuwatoa madarakani coming2015!
Hiyo misafara mirefu ni utumizi mbaya wa fedha bila sababu!