witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
Utafiti wangu rasmi. Magari karibia wote ya kutembelea hayana bima. Hii but kila ninaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huwa nashuka naenda kuangalia kama magari Yao yana bima. Na hiki ni kipindi kile bima zilikuwa zinabandikwa kwenye kio. Sasa hizi za kidijitali ndo kabisa.
Polisi wekeni bima ya magari ndiyo muanze kukagua magari yetu. Huo uonevu muache
Polisi wekeni bima ya magari ndiyo muanze kukagua magari yetu. Huo uonevu muache