[emoji23][emoji23] Ebu tuacheni utani.. hizi side mirrors si za SunLg/Toyo?Made In Kenya cars, BJ-50. They costs only KShs450,000 ($4,505.42) each.
View attachment 1040335View attachment 1040336
Pesa za serikali ndio zimetumika kuunda hizo ndinga
Wamejaribu wameweka, kudos Kenya
Hiyo kitu ya TZ,nyumbu inaitwaView attachment 1041021
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro hzo ni gari au wadudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi design trademark protection hakuna hapo kama nikileta picha nilitoichora nilipokuwa std 3 siwezi kupata haki miliki yangu na hela juu hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kaka Nyumbu huzioni au unajiwehusha?, hivi bidhaa zote zinazozalishwa hapa nchini kama nguo, viatu, transforma za Umeme Kule Arusha, meli tulizotengeneza Kule lake Nyasa chini ya Songoro Co. Cement, tiles na bidhaa zingine nyingi, Bado upo kwenye vijiko?,bora hta wao miaka kumi mbele technology itakua Maradufu,kuliko bongo ambapo hata vijiko tunagizia uchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Am very proud of Songoro...wana base Nyasa na Mwanza i think au Mwanza sio wao? ..am sure they will imporve year by year and they will make us more proud .and increase our economyKaka Nyumbu huzioni au unajiwehusha?, hivi bidhaa zote zinazozalishwa hapa nchini kama nguo, viatu, transforma za Umeme Kule Arusha, meli tulizotengeneza Kule lake Nyasa chini ya Songoro Co. Cement, tiles na bidhaa zingine nyingi, Bado upo kwenye vijiko?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka Jana mwishoni walishinda tender ya Kimataifa huko Uganda na kuwa bwaga mpaka wa China! Sasa wapo mzigoni wanatoa kitu huko Uganda kitatumika kwenye lake Victoria.Am very proud of Songoro...wana base Nyasa na Mwanza i think au Mwanza sio wao? ..am sure they will imporve year by year and they will make us more proud .and increase our economy
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hajui kinacho endelea nchini mwao. Viwanda vya transforma viko vinne na cha tano kitafunguliwa mwaka huu, Mita za Luku sasa hivi zinatengenezwa hapa hapa na zinakua exported. Waziri aliwaelekeza Tanesco waokoe pesa kwa kutumia Luku zinazo tengenezwa ndani.Kaka Nyumbu huzioni au unajiwehusha?, hivi bidhaa zote zinazozalishwa hapa nchini kama nguo, viatu, transforma za Umeme Kule Arusha, meli tulizotengeneza Kule lake Nyasa chini ya Songoro Co. Cement, tiles na bidhaa zingine nyingi, Bado upo kwenye vijiko?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Very useful. Ukimwambia mtoto kuwa utampandisha humo kama akigoma kula si ajabu akatafuna hadi sahani πππMade In Kenya cars, BJ-50. They costs only KShs450,000 ($4,505.42) each.
View attachment 1040335View attachment 1040336
Pesa za serikali ndio zimetumika kuunda hizo ndinga
Wamejaribu wameweka, kudos Kenya
Very useful. Ukimwambia mtoto kuwa utampandisha humo kama akigoma kula si ajabu akatafuna hadi sahani πππ
Wewe jamaa mpuuzi sana πππVery useful. Ukimwambia mtoto kuwa utampandisha humo kama akigoma kula si ajabu akatafuna hadi sahani πππ